Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Ila akipiga pesa tena huwezi mfikia hata theluthi. Mwanaume thamani yake haishukagi. Sana sana upepo wake hupungua kidogo akiwa hana hela ila chance ya kurudi kwenye peak iko wazi full time.
Aaaah wapi...yule ndo nitoleeee!

Haki hachomoki, si tupo mi na wewe!

Hela na mtaji wote uhonge malaya utegemee kuchomoka? Asubutuuuu [emoji28][emoji28] [emoji23][emoji1787] [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANAWAKE WABINAFSI SANA NYIE...

NI SUALA LA KUUSET MOYO TU...UTAMPENDA TU...HIVI WAKATI ULE MAMA ZENU WALIOKUWA WANAOLEWA NA MWANAUME HATA HAMJUI...JUST KWA SABABU BABA YAKO NA BABA YAKE WANAFAHAMIANA BASI WANAKUBALIANA KUOZESHANA...NA WANADUMU...

NYIE WA SASA MNAJIKUTA WAJANJA NA WAJUAJI..

Ndiyo maana wazee wengi walioa mitara
Kwa sababu yule mwanamke deep inside hayupo kabisa

Anawaza kuishi pale either kwa sababu ya watoto ama heshima ya jamii.
Mwanaume nae hapati kile anachostahili anaamua ajaribu kwingine

Jaribu upate mwanamke anaekupenda uone ilivyo raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah upo sahihi 100% walau fanya hivyo ila sio kila mtu anaekufata unamletea pozi.

Kuna mdada mmoja nae alikuwa hivyo, kipindi amewiva akatokea kijana alimpenda sana, ila cha ajabu akawa yuko nae on/off jamaa alikuwa anaenda mpaka kwao. Anampenda kinoma demu akawa anzingua zingua mara amkazie na kumpelekesha wee. Chalii HB haswa toka familia bora. Mwisho wa siku akaamua kupiga chini japo alifikia stage anataka kumuoa seriously.

Leo hii huyo manzi kazalishwa na kiben 10 style za akina Mo Jay. Hana mbele wala nyuma. Alikuwa na kazi ile kazi akaipoteza kwa uzembe starehe zilimzidi pombe kwa sana. Kajamaa chake hakana ishu nako kalikuwa kanasafiria nyota ya demu kwa kila kitu shopping kila mwisho wa mwezi, maana demu ndio alikuwa mjanja ana kila kitu mpaka gari la kutembelea.

Walifurumushwa kwenye nyumba kodi hawana wakaamia geto napo wametimuliwa hawana kodi, njaa imezidi mtoto ana kwashiokor haeleweki yani hata simu ya kutumia hana huyo dada anafanya kuweka line Kutoka Level za akina Wema mpaka mlo wa shida, saivi imebidi wakapate hifadhi kwa mama wa huyo kijana ben 10. Kwa jinsi huyo mdada alivyokuwa bomba na jinsi nilivyokuwa namuona mjanja yaliotokea ni ya kustaajabisha.
Weeee[emoji848]... usinambie!?

Kati ya vitu nahisi demu utafulia na mpaka uchomoke labda Yesu aingilie kati!....Ni kuwa na mahusiano na vibenten asee!

Jamani sijawahi hata kuwaza kuwa na kiben10, sasa atakupa nini?

Na gari aliuza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotokea ni kwamba mtu hujui anayekupenda kwa dhati ni yupi na anayekuigizia ni yupi, hata angemkubalia huyo jamaa yako hatujui yangemkuta yapi
Hata kama coz mpaka huyo shost aje arudi formal sio leo wala kesho!

Ben10 hata urafiki nae sitaki[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kuna mdada mmoja nilimpenda sana nae alinipenda sana akakubali kubadili dini,na nikapeleka barua kwao ikapangwa mahar tena ya kawaida sana.kipind hicho sikuwa chema kama sasa nilipata kazi Ukraine nilikataa kwenda ila yeye alinishauri sana nikakubali nikaenda tukawa tunawasiliana kama kawaida.before ya kuwa nae nilikuwa na mwanamke mwingne tulipitia maugomv meng sana.nilipo rud tz sijui akili yangu ikawaje nikafanya sherehe pasina kujua na kuoa yule mwanamke wa kwanza na wala Sikh kaa sana nikaletewa barua ya kusitishwa kaz ila sikujali coz nilipewa pesa zote.niliumia sana juu ya hilo yule mwanamke niliepeeleka barua hakujua kama nimeoa akawa yuko na mm kama kawaida bahat nzuri nikapata tena kaz italiy na Niko mpaka sasa kiukweli sina furaha katika ndoa yangu kila wakat yule mwanamke ananijia akiwa analia ndotoni hakuwa kunikosea hata Mara moja.sina shida ya pesa kabisa ila nakosa AMAN YA MOYO NA NAFS.kwa hyo katika mahusiano tujaribu kuwa makini sana katika kuchagua
Kwanini ulimfanyia hivo mdada wa watu sasa na wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwa ushuhuda wangu..
Niliwahi kumpemda dada mmoja yuko smart na ni mzuri wa sura na shape.. ndani ya macho yangu lkn..
Demu alinikataa kisa kuna kamanda mmoja hivi.. nikasotea sana papuchi yake.. nikalilia sana nafasi kwake dah kwa wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo lkn nko na biashara zangu..
Now nko kwenye ajira, gari nzuri kwa level yangu, nyumba na hata pesa ya dagaa hainishindi.. Yule manzi now yupo yupo tu kazalishwa na yule fala na kaachwa..
Now ananipigia simu kuomba msaada hata wa mtoto nimemsaidia kupata TOTO AFYA KADI...
NDIO AJIONE UJINGA WAKE FALA YULEEE..

Sent using Jamii Forums mobile app
kapeace na witnessj
 
WANAWAKE WABINAFSI SANA NYIE...

NI SUALA LA KUUSET MOYO TU...UTAMPENDA TU...HIVI WAKATI ULE MAMA ZENU WALIOKUWA WANAOLEWA NA MWANAUME HATA HAMJUI...JUST KWA SABABU BABA YAKO NA BABA YAKE WANAFAHAMIANA BASI WANAKUBALIANA KUOZESHANA...NA WANADUMU...

NYIE WA SASA MNAJIKUTA WAJANJA NA WAJUAJI..
Hapo ndipo unaposhangaa sasa, kimsingi mwanamke anaweza mpenda mwanaume yeyote akiamua kufumba macho asiangalie kushoto wala kulia. Kinachofanya wasasa wawe wachaguzi si kwa kuwa wapo huru kuangalia design nyengine kila siku. Enzi hizo binti anaambiwa huyu ndio mume wako...na anatulia tulii anazaa na kuwa na familia kabisa bila kelele.
 
Weeee[emoji848]... usinambie!?

Kati ya vitu nahisi demu utafulia na mpaka uchomoke labda Yesu aingilie kati!....Ni kuwa na mahusiano na vibenten asee!

Jamani sijawahi hata kuwaza kuwa na kiben10, sasa atakupa nini?

Na gari aliuza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiseme huwezi maana ndio aina ya wanaume waliowazunguka zaidi hapa mjini. Unaweza kula sound ukapigwa muwa ukajikuta umenasa na hela unatoa.

Gari ndio inaelekea kuuzwa!
 
Kiukweli kuna mdada mmoja nilimpenda sana nae alinipenda sana akakubali kubadili dini,na nikapeleka barua kwao ikapangwa mahar tena ya kawaida sana.kipind hicho sikuwa chema kama sasa nilipata kazi Ukraine nilikataa kwenda ila yeye alinishauri sana nikakubali nikaenda tukawa tunawasiliana kama kawaida.before ya kuwa nae nilikuwa na mwanamke mwingne tulipitia maugomv meng sana.nilipo rud tz sijui akili yangu ikawaje nikafanya sherehe pasina kujua na kuoa yule mwanamke wa kwanza na wala Sikh kaa sana nikaletewa barua ya kusitishwa kaz ila sikujali coz nilipewa pesa zote.niliumia sana juu ya hilo yule mwanamke niliepeeleka barua hakujua kama nimeoa akawa yuko na mm kama kawaida bahat nzuri nikapata tena kaz italiy na Niko mpaka sasa kiukweli sina furaha katika ndoa yangu kila wakat yule mwanamke ananijia akiwa analia ndotoni hakuwa kunikosea hata Mara moja.sina shida ya pesa kabisa ila nakosa AMAN YA MOYO NA NAFS.kwa hyo katika mahusiano tujaribu kuwa makini sana katika kuchagua
Kwakweli mm sijakuelewa.. zaidi ya kutuambia uko ITALY..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom