Yule ambae humtaki ndio mumeo

Hehehe afu yakikushinda ukaamua kukaa kando; bado utasikia "mwanamke mpumbavu" mweeh
Jamani ukiishi humu duniani kwa kuifata jamii, umekwisha!

Fanya unayojisikia kufanya humu duniani bila kujali watanionaje ili mradi huvunji sheria!...maisha ni mafupi na no matter what lazima uitafute furaha! Hakuna wa kukupa furaha humu duniani!

I wish ningepata hizo guts, moyo wangu ungefurahi sana sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly, Bongo humanity ni 0%.

Ukiwin ndoa ikachangamka utasikia anajifanya wanapendana, katusahau ndugu zake and so so.

Hakuna maisha utakayoyaishi kama utataka kuishi kwa kuwafurahisha wengine.

Tena kuna wengine wanakulengesha machakani ili uwe kama wao.
Haaaahaaaa....umeongea ukweli mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nina maombi mengi sana kwa mwenyez mungu ila hili la kumpata mtu ninayempenda na yy ananipenda ni swala ambalo ni priority kubwa kwangu

Kuishi na mtu ambaye humpendi ni kazi na shughuli kubwa nina bahat ya kupendwa na wasichana ambao sijawaelewa

Nkifikiria vile nawakimbiaga au kuwaonyesha dalili wajikatae mapema wasinipende naona ni ngumu kuishi na mtu wa aina hyo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mungu alituambia tuwapende jirani zetu, hakusema tuwaplease. Kila mtu apambane na choices zake anazozifanya na maisha yake. Tujifunze kuishi maisha yetu, na tujifunze kuacha na wengine waishi maisha yao
Jamani ukiishi humu duniani kwa kuifata jamii, umekwisha!

Fanya unayojisikia kufanya humu duniani bila kujali watanionaje ili mradi huvunji sheria!...maisha ni mafupi na no matter what lazima uitafute furaha! Hakuna wa kukupa furaha humu duniani!

I wish ningepata hizo guts, moyo wangu ungefurahi sana sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh kuna maskini na wana muda zaidi na vilabu na wanawake kuliko familia zao.

Matajiri wengi tu wanakuwa busy na pesa and yet wanatenga muda wa kuwa na familia zao. Tusitiane moyo na umaskini wetu, hatuupendi ila ndo vile no way out. Na umaskini sio guarantee ya kuwa na upendo/ familia njema. Umaskini unavunja ndoa vile vile
Hahaha we sema huwezi date na maskini tu ijulikane moja.
 
Ukimpata anaekupenda anakufumania
Anaanza kulia ila jamani Extrovert mbona unanifanyia hivi
Kama kuna kitu nakukosea niambie mme wangu....

Asiyekupenda
Wewe ni malaya sana nilijua siku nyingi sana (matusi debe)
Na leo kila mtu aendelee na maisha yake!


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hapo mtu ndio anapata pa kukuachia. Maana alikuwa anatafta sababu tu.
 
Hahaha we sema huwezi date na maskini tu ijulikane moja.
Been there done that, na hata nikimkataa maskini sio dhambi. Uwe maskini, ila uwe na attributes nyingine za kunifanya niwe na wewe. Ila kufikiri umaskini wako utanivutia; hapana mpendwa. Na hata huyo ambaye leo hii hana kitu, lazima tuangalie kama ana promising future. Kama anajivunia na karidhika na umaskini wake, kwa kweli atapambana tu na hali yake. Hata tulio maskini leo, moyoni tuna kiu na tunafanya juhudi za kutoka huku.
 
Maneno kuntu
Wadau wazima,

Kwa wadada unaweza kumkataa mwanaume kisa hana hela au ana hela ila roho haijaridhia basi unajiachia kwa vibwana ambavyo vinakuchezea tu mwishowe unatoa mimba unaachwa unasalitia mpaka unazeeka.

Tokea wimbo wa Vaileti mpaka Tetema hujaolewa hujui kwanini kwa maana yule unayemkata ndio kaja kwa wema ila wale unaowapapatikia ndio utaishilia ukitoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango.

Oh mara unasema huyu namchuna mpaka nini .
Mara nina wangu tuna miadi naye ya mbele we have future together mwenyewe hata home hajawahi kuja.

Anawatifuatifua marafiki zako kama nini halafu kutwa masaa ishirini nanne unakuwa unamsema unamuwaza unakuwa unamuota na unajiona kumbe ni mpita njia kazi yake ni kula na kusepa.

Sasa huyo uliyemkataa ataoa utabaki umekomaa hadi ukigongwa na pikipiki sio wewe unajeuriwa na pikipiki umeijeruhi.

Acha kuchagua utajikuta wewe ndio kila mtu anapita akichoka nyumbani kwake. Anajua unachopenda chakula vinywaji na pesa anakuja anakupa anaenda ila hata siku moja hutasikia ndoa.

Utavaa nguo zakila neno hadi ubadili uanze kuvaa vitengee. Utabakia ukiitwa majina kisa ni wewe ulitaka.

Kaa naanaye kupenda tatizo ni hili kumpenda asiyekupenda. Aliyekupenda tulia naye hata hela mkikaa pamoja mkawa serious mtazipata tu.

Au kama anazo basi jaribu kumuweka unavyotaka wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mambo ukiyafanya kutokana na msukumo wa mazingira/kuogopa macho ya raia,kuna uwezekano wa kulamba joker kirahisi sana.
 
Kuna jamaa mmoja last year katikati kwenye mishe tumekutana hukoo.....Basi jamaa full kuzimika na mimi, aaahg! Nikamuona tapeli tu....kumbe ni ananipenda kweli asee, ...tatizo moyo wangu haumkubali kabisa, staff mwenzangu ananiambia iko siku utaukumbuka huu upendo, halafu mkaka mzuri tu, na anafocus na life but duuh moyo bana unagoma/ukagoma mazima!


Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo linakujaga hapo ...moyo unagoma kabisa kua nae hata kiuongo na unaona kabisa mtu anakupenda na ana future na wewe but moyo hautak na ukilazimisha unaeza ukala nae denda ukatapika
 
Been there done that, na hata nikimkataa maskini sio dhambi. Uwe maskini, ila uwe na attributes nyingine za kunifanya niwe na wewe. Ila kufikiri umaskini wako utanivutia; hapana mpendwa. Na hata huyo ambaye leo hii hana kitu, lazima tuangalie kama ana promising future. Kama anajivunia na karidhika na umaskini wake, kwa kweli atapambana tu na hali yake. Hata tulio maskini leo, moyoni tuna kiu na tunafanya juhudi za kutoka huku.
Point si huwezi, hamna haja ya porojo. Subiria kutongozwa na kuombwa ndoa na kibopa. Umeshakata tamaa kiaina flani
 
Back
Top Bottom