Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,974
- 41,212
Sisi tunawaita NGUCHIRO Huyu mdudu hachezagi mbali na MASHIMO YaoHao wadudu wanaitwa Jewe.
Sisi tunawaita NGUCHIRO Huyu mdudu hachezagi mbali na MASHIMO YaoHao wadudu wanaitwa Jewe.
Yupo masjid ana mswalia mtume mudi boyAu ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Zito kaingia circle ya Lipumba simply ni kwa sababu ya kupofushwa na tamaa kwa kukubali kununuliwa na fisadi la Msoga.Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Hv we unatumia nini kufikiri? We ufanye uhalifu wako huko uje kumlaumu mtu asiyehusika? Hz ni siasa gani za hovyo hivyo? Zitto alimtuma kwenda kushindana na mahakama? Mnasema hakukuwa na amri ya mahakama, jaji mkuu tamko lake siyo amri? Shida ya wanasheria wa nchi hii ni very arrogant, wajuaji, wabishi wakati tunawajua ni IQ ndogo sana walikuwa wanakariri Historia leo wanajua kila kitu! Hopeless kabisa! Apambane na upumbavu wake! Sheria ni fani ya hovyo sana ya kuwarudisha wananchi nyuma kimaendeleo!Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Kumsema mtu kwa maumbile sidhani kama ni jambo sahihi, mseme kwa matendo yakeNa liuso lake la matotobo matotobo akafie mbali tapeli wa kisiasa
Nimesema kweli, na huwenda hiyo ni ishara kamili.Kumsema mtu kwa maumbile sidhani kama ni jambo sahihi, mseme kwa matendo yake
Wazanzibar wamemtapeli ACT -Wazalendo yake hana hamu.Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?