kama kweli hongera zake she is 1976 born amepata mtoto
Kwa hiyo ana miaka kama 42. Ila sasa asiendelee tena maana umri nao ni hatari akizaa uzeeni
kama kweli hongera zake she is 1976 born amepata mtoto
Weee ndie umepotea sana rafiki yangu looh! ukiwa hewani njoo piemu tuongee mambo ya msingi na manene kabisaMic u Crazly!!!!!
HahahahahabababJioni ya leo utaanza ku left magroup
Unamaanisha SAO hiil forest?Naona unazibipu Nissan Patrol.
Ngoja waweke salio wakupigie!
Rais wa Tanganyika.Hotel ya Keby's Mwenge iliyo jirani na baraza la mitihani na taasisi ya elimu ni ya nani?
Kumbe Daudi ni jirani yangu wewe? Anyways Karibu Tegeta-Madale....
Mchochezi...Naona unazibipu Nissan Patrol.
Ngoja waweke salio wakupigie!
sheria inaruhusu mama akienda maternity leave.... baba nae aende paternity leave..... sa sijui baba ameenda ama vp?yuko maternity leave,
sheria inaruhusu mama akienda maternity leave.... baba nae aende paternity leave..... sa sijui baba ameenda ama vp?
Kachukua ndonga la mshua?nenda Tegeta utamkuta analea kadume kake ukikiangalia kwenye ndonga daah fresh sana
Siamini weka pichuyuko maternity leave,
Kachukua ndonga la mshua?
njo Mbopo mkuu tuchonge ki JF JFKumbe Daudi ni jirani yangu wewe? Anyways Karibu Tegeta-Madale....
Kwani ni nani ii wake auMbona nasikia hawasalimiani na mama Janeth, kwani tatizo ni nini?
Kuna wakati nilitaka kufanya booking hapo badae rohi ikasita...kumbe ya lijamaa...asante roho yanguRais wa Tanganyika.
Hutaki kumchangia rais wako?Kuna wakati nilitaka kufanya booking hapo badae rohi ikasita...kumbe ya lijamaa...asante roho yangu