Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Ni muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, kwenye shughulu za Serikali au hata kwenye shughuli za kijamii.

Nilitegemea angetupa mrejesho ule ukuta wa Mererani umefikia wapi? Atupe mrejesho kuhusu makinikia na malipo yetu.

Yuko wapi Anjela Kairuki?
Kwa maternity alisha maliza?
 
Yupo maternity leave

Lakini wapo manaibu wake wawili ambao wameteuliwa na Mkulu, kumsaidia "mama" wakati yupo likizo ya uzazi
Ana umuhimu gani kwa taifa hadi kupewa uzito huo?
 
Ni muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, kwenye shughulu za Serikali au hata kwenye shughuli za kijamii.

Nilitegemea angetupa mrejesho ule ukuta wa Mererani umefikia wapi? Atupe mrejesho kuhusu makinikia na malipo yetu.

Yuko wapi Anjela Kairuki?
Mama anachapa kazi sana. Yupo mikoani.
 
Waziri mkuu alipomuambia Jiwe siku zile Ikulu ishu ya korosho eti balozi wetu kutoka china amepata wafanyabiashara wa kununua korosho Jiwe alimaindi na kung'aka kwa jazba "hamna bana jeshi litaenda mtwara".

Yaani aliposikia balozi china jamaa kwa wivu eti credit zitamuendea
 
Back
Top Bottom