Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Ni muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, kwenye shughulu za Serikali au hata kwenye shughuli za kijamii.

Nilitegemea angetupa mrejesho ule ukuta wa Mererani umefikia wapi? Atupe mrejesho kuhusu makinikia na malipo yetu.

Yuko wapi Anjela Kairuki?



HUU NI UCHOCHEZI SASA
 
Hivi kuzaa mume mtu ukiwa mke wa mtu shida ni nini?? Dhambi kubwa sana!!
 
Nilikuwa siamini ila binafsi nishaziona mara tatu na Jana baada ya ile mvua nimekutana nazo mbezi beach.
Khaa mpka jana???? Hahahaaaa nisiwe mnafiki yalishwah nipita hapo africana
 
Hotel ya Keby's Mwenge iliyo jirani na baraza la mitihani na taasisi ya elimu ni ya nani?
 
Huyo mtoto anapofikisha miaka 30 babaye atakuwa na miaka mingapi? Je, atakuwa ametoka kwenye cheo chake alicho nacho sasa au hoja ya Nkamia itakuwa imetekelezwa na kumbakisha?
 
Back
Top Bottom