Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mna maneno wakuuu, haha haha haha
Ha ha ha! Balaa Kubwa! Mie bora ni comment kwako mkuu, naogopa ku coment kwenye post yake nisije ambiwa "mchochezi" bure😛
 
Mwacheni mama anyonyeshe.Colostrum ni muhimu sana kwa mtoto kuliko wizara.
 
FORTALEZA: Namshangaa eti kwa sababu ya kuhofia kunyang'anywa ubalozi jamaa kaamua kumtoa sadaka mkewe kwa mzee. tatizo mkate wa kila siku. Mimi ningeona bora nipoteze ubalozi tu, huyu jamaa ningemng'ang'ania shingo tena mbele ya vyombo vya habari.
 
Yule Balozi wa China amedhslilishwa sana! Ingekuwa nchi za wenzetu kuna mjinga mjinga angekuwa ameshabwaga manyanga! Kabalozi katakuwa kanajiona kanyonge sana!
 
hakuna, kila kitu kipo vema dada yupo maternity leave ya kawaida kama watumishi wengine, hakuna dhambi dont be biased
 
Back
Top Bottom