Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Yuko wapi Waziri wa Madini Angella Kairuki?

Hivi wakati wawili hawa wanatafuta hiki kichanga balozi alikuwa wapi?
 
Ni muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, kwenye shughulu za Serikali au hata kwenye shughuli za kijamii.

Nilitegemea angetupa mrejesho ule ukuta wa Mererani umefikia wapi? Atupe mrejesho kuhusu makinikia na malipo yetu.

Yuko wapi Anjela Kairuki?
yuko likizo ya uzazi
 
Katuletea kitu hivi. Kuwa mpole mama yuko vzr akimaliza kula uzazi utamwona.
 
Back
Top Bottom