Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais.

Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani.
 
Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi

Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
aage ili ugundue nini?

anapeleka report ya kazi aliyotumwa na watwana huko ulaya.

ninyi hamumsaidii chochote ispokua kura tu, wakati wa uchaguzi.

akiulizia pesa za join the chain zilipatikana sh.ngapi na zilitumikaje mnakasirika....

akiuliza risiti za malipo na matumizi ya fedha za chama tangu alipoondoka mnasema mkorofi....

sasa yeye pia si kiongozi anapaswa kujua mambo yanaendaje chamani, sasa eti ukorofi, usaliti au ujuaji unatoka wap...
 
Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi

Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani

Wa Tanzania ni wazandiki sana. Nani kakwambia kasafiri, na kama unajua kasafiri, then ina maana kuna taarifa, sasa unataka nini? Akisafiri akuachie na hela ya matumizi.
 
Tangu Tundu lisu tangu arudi nchini hii nazani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kesema sababu yoyote hali hii sizani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya uraisi

Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani
Mara zote rais wako akisafiri nje ya nchi huwa anaaga?, alafu kwa nini usumbuke na mambo ya ndani ya chama cha Chadema, ? Lini viongozi wa chama husika wamelalamika kwamba hawajui alipo? Fuata maisha yako ya chadema hayakuhusu
 
Akuage kwani wewe ni mkewe?
 
Futa huu ujinga..
 
Uko sahihi,kuna dosari kidigo kwa Yeye Lissu kama kiongozi wa kisiasa kitaifa kuwa anafanya baadhi ya mambo kuwa ya kisiri siri namna hiyo.

Hii inatia Doa na Mashaka madhumuni hasa ya hizo safari zake.

Inaweza aminisha baadhi ya wananchi kwamba kuna hila fulani hivi.
Kwa sababu sio siri kwamba familia yake iko huko nje Ubelgiji.

Sasa kuna ubaya gani akiondoka kwa kuaga wafuasi wake pamoja na watanzania kwa ujumla?

Au kila baada ya tukio la kukamatwa huwa analitumia kama kick ya kuiwezesha familia yake kuendelea kufadhiliwa huko Ulaya?

Kwa hili lazima Aambiwe ukweli!
 
Mara zote rais wako akisafiri nje ya nchi huwa anaaga?, alafu kwa nini usumbuke na mambo ya ndani ya chama cha Chadema, ? Lini viongozi wa chama husika wamelalamika kwamba hawajui alipo? Fuata maisha yako ya chadema hayakuhusu
Kwani anaongoza viongozi wa Chadema pekee au huwa pia anajikomba kwa watanzania wote?
Unajua maana ya Public Figure?
 
Back
Top Bottom