Yuko wapi Primi Mushi a.k.a Kuringe mvamizi wa viwanja

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,564
Reaction score
27,633
Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk.

Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la kiwanja cha Goig na Mikocheni kwa Maftah.

Soma Pia: Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Cc Jidu La Mabambasi
 
Huyu Kuringe ana utajiri wa mashetani/ masharti. Masharti yake yanamtaka kununua mali tu, asikae na hela.

Hapa Mbezi Makonde kanunua hatavmali zingine hazina thamani. Kuna kisehemu kidogo karibu na Police Post ya Mbezi Garden, ukubwa wa mita 10 × 15 ilikuwa mali ya Bibi anaitwa Maole. Bibi huyo alikufa 2020 na kuacha wajukuu 3. Huwezi kuamini Kuringe ametaka kupachukua ili kuunganisha na nyumba aliyouziwa na Muha.

Wajukuu wamekwenda Polisi na ujenzi umesimama toka mwaka 2022.

Sasa unajiuliza mtu mwenye majumba Kariakoo, Kknondoni, Mbezi Makonde kwa nini agombee na yatima kipande kidogo cha ardhi kama hicho?? Ni utajiri wa masharti tu
 
YUPO CCM ...NI CHAWA WA MAMA
 
Huyu jamaa ana balaa, ana maeneo mpaka mengine ameyasahau
 
Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk.

Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la kiwanja cha Goig na Mikocheni kwa Maftah.

Soma Pia: Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Cc Jidu La Mabambasi
Huyu jamaa anatisha, ananunua viwanja Mbezi Beach kama mtu anavyonunua karanga.
Ila hana watu wa kuendesha miradi yake kwa ufanisi.
Sehemu zake nyingi zimeanza kudorora.
 
Huyu Kuringe ana utajiri wa mashetani/ masharti. Masharti yake yanamtaka kununua mali tu, asikae na hela.

Hapa Mbezi Makonde kanunua hatavmali zingine hazina thamani. Kuna kisehemu kidogo karibu na Police Post ya Mbezi Garden, ukubwa wa mita 10 × 15 ilikuwa mali ya Bibi anaitwa Maole. Bibi huyo alikufa 2020 na kuacha wajukuu 3. Huwezi kuamini Kuringe ametaka kupachukua ili kuunganisha na nyumba aliyouziwa na Muha.

Wajukuu wamekwenda Polisi na ujenzi umesimama toka mwaka 2022.

Sasa unajiuliza mtu mwenye majumba Kariakoo, Kknondoni, Mbezi Makonde kwa nini agombee na yatima kipande kidogo cha ardhi kama hicho?? Ni utajiri wa masharti tu
Inasikitisha napafahamu hapo mahala.
 
Huyu jamaa anatisha, ananunua viwanja Mbezi Beach kama mtu anavyonunua karanga.
Ila hana watu wa kuendesha miradi yake kwa ufanisi.
Sehemu zake nyingi zimeanza kudorora.
Zinadorora kwa sababu hataokei sana front maana naye anaogopa aliowadhulumu wanaweza kumu attack
 
Huyu Kuringe ana utajiri wa mashetani/ masharti. Masharti yake yanamtaka kununua mali tu, asikae na hela.

Hapa Mbezi Makonde kanunua hatavmali zingine hazina thamani. Kuna kisehemu kidogo karibu na Police Post ya Mbezi Garden, ukubwa wa mita 10 × 15 ilikuwa mali ya Bibi anaitwa Maole. Bibi huyo alikufa 2020 na kuacha wajukuu 3. Huwezi kuamini Kuringe ametaka kupachukua ili kuunganisha na nyumba aliyouziwa na Muha.

Wajukuu wamekwenda Polisi na ujenzi umesimama toka mwaka 2022.

Sasa unajiuliza mtu mwenye majumba Kariakoo, Kknondoni, Mbezi Makonde kwa nini agombee na yatima kipande kidogo cha ardhi kama hicho?? Ni utajiri wa masharti tu
Kasababisha usumbufu sana huyu. Ndio maana hii shortcut iliyokuwa inapita hapo pembeni kituo cha polisi kutokea upande wa nyuma ilipokuwepo Kunontze bar kaamua kuifunga kabisa mpaka mtu upitie huku chini kanisani Siloam au uende mpaka juu mbezi garden ndipo uzunguke uweze kutokea upande wa pili
 
Back
Top Bottom