Yuko wapi Primi Mushi a.k.a Kuringe mvamizi wa viwanja

Masharti ya waganga wanaowapa utajiri pia yanachngia tabia zao lwa kiasi kikubwa. Huyu Kuringe ana binti yake kama punguani kiasi. Basi ma shamba boy wanambaka tu mpaka wamezalisha mtoto
Duuh
 
Dah, utajiri gani sasa huo wa hovyo hivyo.
 
Masharti ya waganga wanaowapa utajiri pia yanachngia tabia zao lwa kiasi kikubwa. Huyu Kuringe ana binti yake kama punguani kiasi. Basi ma shamba boy wanambaka tu mpaka wamezalisha mtoto
Hmmm una mzungumzia first born M?
Usi toe sana Siri za watu Mzee wenyewe pia wamo humu kaaa chonjo.
 
Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk.

Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la kiwanja cha Goig na Mikocheni kwa Maftah.

Soma Pia: Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Cc Jidu La Mabambasi
So ana majina mangapi??
Primi Mushi VS Edward Mushi??
 
Back
Top Bottom