Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Ni muhimu kupata jibu la swari lako
 
Kwanini mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu wakitaka kitu - husema umma wa watanzania/watanzani? Kwa nini wasijitambulishe wenyewe tu?
 
Nenda kaulize magogoni
 
Kimya kingi?
 
Watanzania walimchagua mmewe siyo yeye.
 
Duh, hapo siajabu unawakwepa ndugu na marafiki, hata kuwaulizia una habari, ila wauzliza haya uchokonowe ya mke wa mtu tu?!
 
Naona waTz wengi bado hamjaelewa System ya uongozi wa huyu Dingi JPM
 

habari za mke wa mtu wewe za kazi gani?
mnashea mume?
 

 
Mama yetu ni mwalimu,kwa hiyo yuko katika majukumu yake ya kawaida ya kufundisha watoto wetu ili tuweze kufikia lengo letu tulilojiwekea la kuwa taifa la viwanda.Hapa kazi tu,hakuna longo longo ya vi-NGO uchwara.
shule gani yakhe
 
Kwani hukumuona juzi kwny uzinduzi wa Mfugale flyover...watu wanafiki sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…