Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,846
- 32,634
Mashinji na Mbowe wanatufundisha umbea tu kamanda.sawa sawa hivyo mmoja alilala chamwino mwingine magogoni ikatokea tu wamekutana hapo
Mashinji na Mbowe wanatufundisha umbea tu kamanda.sawa sawa hivyo mmoja alilala chamwino mwingine magogoni ikatokea tu wamekutana hapo
Kile kipigo cha mbwakoko mpaka akalazwa muhimbili, kimemfanya awe mpoleSina sababu ya kupiga simu Mkuu Nyani Ngabu..........
Kama wewe unajua kinachomsibu Mama yetu huyo kiasi cha kumfanya awe so cool, basi naomba uwajulishe Umma wa watanzania ambao wana hamu ya kumuona akiwa active na shughuli za kisiasa za nchi hii, kama ilivyo kawaida ya maFirst Lady wa nchi hii waliomtangulia
Uchuro mtupu,chuki zitawaua.hapo walikutana kila mmoja akiwa ametoka ikulu yake sio? unaonekana hawakuamabatana kutokea home pamoja
okUchuro mtupu,chuki zitawaua.
Kweli chama cha wachaga mmeishiwa hoja. Poleni sana. Bora ungeulizia mama yenu wa Arusha Lucy.Sina sababu ya kupiga simu Mkuu Nyani Ngabu..........
Kama wewe unajua kinachomsibu Mama yetu huyo kiasi cha kumfanya awe so cool, basi naomba uwajulishe Umma wa watanzania ambao wana hamu ya kumuona akiwa active na shughuli za kisiasa za nchi hii, kama ilivyo kawaida ya maFirst Lady wa nchi hii waliomtangulia
Asanteeeee umenifurahisha... our prezidaaaa na our first ladiiiiiiiieeeess!!! Mtaongea sanaa.. nawapenda jaman mieee😍
Ko wew umetoa hoja tatizo umekalia sehem ambayo ilibidi ifanye Kazi yakufikilia ko kinachotoa hoja kwasasa nisehemu yako yakukaliaKweli chama cha wachaga mmeishiwa hoja. Poleni sana. Bora ungeulizia mama yenu wa Arusha Lucy.
Inaelekea hapo ndipo ulipotokea wakati unakuja duniani kwa mara ya kwanzaKo wew umetoa hoja tatizo umekalia sehem ambayo ilibidi ifanye Kazi yakufikilia ko kinachotoa hoja kwasasa nisehemu yako yakukalia
Huyu Rais anaonyesha upendeleo wa kikanda wa waziwazi kabisaaliyeshindwa kuunganisha familia yake unatarajia kuwaunganisha watanzania..
ndio maana utasikia "nyinyi kaskazini mtasubiri sana"
"tunajenga kanda ya ziwa kwanza"
ivi pombe huku ruvuma na mbeya utakuja lini kutushukuru kwa kukuchagua ?
aliyeshindwa kuonesha uaminifu kwenye ndoa yake unategemeaje ushirikiano ?
Angalia juzi juzi kwenye ufunguziwa Mfugale flyover alikuwapo kwenye tukio.Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?
Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu
Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND
Ana nyege huyo achana nae labda mtoto wa mchepuko analazimisha mama wa wenzie awe mama yake.Mama yako na nani..!?? Acha Ujinga.