Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu

Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Alikuwepo kwenye Mfugale 'fly over' ! Una jingine ?
 
Mama Maria Nyerere = Mama Janet. Sawa. Hawa n ma-first ladies wa ukweli.

Mama Mkapa, Mwinyi na Kikwete walikuwa n "waizi." Hawa walitumia nafasi za waume zao, kufanya biashara ikulu na walikuwa n janga kwa taifa __ dhambi kubwa. Watu wa namna hii wala hatuwataki. Ss tulichagua Rais, hatukuchagua First Lady!

Mama Janette kwa sasa, anahudumia mama mkwe wake baada ya dada wa president kufariki dunia. Anatimiza majukumu yaliyomtoa kwao...
 
Mama ni mtu mwenye huruma daima. Inawezekana kabisa yanayotokota chunguni, yanamfanya hasifurahie, kukaa jikoni.
 
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu

Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Sema mmemiss kuwatukana first ladies kama ilivyokuwa kwa waliopita..huyu mama hana taasisi yoyote ya kufanyia shughuli zake kama ilivyo wama ya salma kikwete au eotf ya anna mkapa..akifungua taasisi kama hizo mtahoji pesa katoa wapi..kwa kifupi hana pesa za kumfanya ajitokeze kufanya shughuli za kijamii..maana shughuli hizo zinahitaji pesa.
 
tuna mtu mmoja tu. ww aongee nn au afanye nn? wengine wakikosea hudharilishwa na kutumbuliwa kwa kauli zao na matendo yao kama hayatabalikiwa au yakiendana na kiki, sasa huyo mama akikosea itakuwaje unafikiri? we are in family stability
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom