Umepatwa na nini Bwana Ngabu, hii maneno ya mipasho kama magumegume ya tandale umejifunzia tuition centre ipi???Linichome kwani limekuwa mshale? We vipi wewe...
Kwani prince yeye alienda na mkewe??Kwakweli lile tukio la Prince kwenda Ikulu, mother house alitakiwa kuwepo pale
Sijawahi kuwa na Magufuli kama Rais wangu.Ni kawaida Mke wa Rais wetu, ambaye tunamwita First Lady, kiheshima tunamuita mama yetu
Shauri yako.Sijawahi kuwa na Magufuli kama Rais wangu.
Nyani ni kama vile kashikwa pumbuNyani vipi mbona mkali sana safari hii?
Walionunuliwa wapo wengi kama mbilimbi
Hicho kijamaa wala hakinaga kununuliwa ni kapumbavu tu, kwa kujiona kajuaji flani hivi.Linichome kwani limekuwa mshale? We vipi wewe...
Piga simu ikulu uwaulize.
Halima Mdee hakuwapo pia, hajahoji !?Mbona mke wa prince hakuwepo na huhoji
Mama yenuYuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?
Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu
Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?
Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND

Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

....ni sawa tu ! Unaweza kumfanya Obama ni rais wako hata kama upo Tandale kwa tumbo.Sijawahi kuwa na Magufuli kama Rais wangu.
Mkuu umenifungua kichwa very true.Beside every succesful Woman there is a Man!
And
Behind every succesful Man there is Woman