Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Jibu rahisi ni different style kati ya uongozi wa Magufuli na marais waliomtangulia na ndio ukweli pekee. haijalishi kama aliyeuliza ana lengo gani lakini ni iswali la kawaida tu mimi mwenyewe leo hii kuna mtu kaniuliza mbona Simsikii Mama Janeth siku hizi? of cource kunaweza kuwa na ageda iliyojificha but si vibaya watu kuwaza juu ya hili na kama kuna mambo ya ndani zaidi si haki yetu kuyajua na tuishie tu hapao!
 
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu

Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?

Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND
Yupoo na mume wakeeee palee magogoniii
Kama unamuhitajii nenda palee utamuonaaa
 
Uanzishwaji wa mifuko wengine husema eti ndimo wengine huitumia isivyo sahihi!
Sasa naona Huyu mama hataki kabisa mambo hayo na nazani inaendana sambamba na itikakadi ya Mheshimiwa sana wa Safari hii!
Sitarajii baadae tuje kusikia vinginevyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom