Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu

Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?

Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND
Mke wa baba yako yupi
 
Rais Magufuri huwa mnasema anapenda kamera,Janeth hataki kamera mnamtafuta sisi watanzania tunamatatizo sana.
Huyo mama ni Public Figure kwa hiyo tuna ulazima wa kumuulizia
 
Ndivyo mama wakiafrika anapaswa kuwa... afatane na mzee hapo nyuma kila saa ili iweje kwa mfano hahaha
 
We unauliza wake wa wenzio mbona wako hatumuulizi???
 
Mama yetu ni mwema sana.. yupo pamoja na mzee katika kujenga taifa..
 
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.

Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.

Shameful.
Na wewe kwa kujipendekeza hujambo hasa.
 
Nipo kaka ila nilishahama huko kitambo
Kumbe ndio maana siku hizi hatutafutani, siku ukipotea njia karibu, nasi tukielekezwa makao mapya, tutatia timu, unless siku hizi wewe sio Miss Natafuta tena sasa ni Miss Sitafuti, Miss Nimepata au Mrs Nimepata, ila hili jina la Miss Natafuta umeliacha tuu kwa vile limezoeleka, au bado wewe ni Miss Natafuta ila umehama tuu lakini bado unatafuta?.
P
 
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.

Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.

Shameful.
Kwani kujua kuhusu mama yetu ni kosa? mbona unahamaki?
 
We unauliza wake wa wenzio mbona wako hatumuulizi???
Huyo siyo mke wa kawaida kama alivyo wangu na wako.........

Bali huyo ni Public Figure, kwa nafasi aliyonayo ya u-First Lady, kwa hiyo sisi wananchi tuna uhalali wa kudadisi na kutaka kujua kulikoni mbona yuko kimya mno na hasikiki??
 
Kama huna sababu ya kupiga simu basi sidhani nia yako ya kutaka kujua mke wa rais yuko wapi, ni ya dhati.

Unaandika tu hapa ili wewe na wenzako mpate upenyo wa kuanza kumponda Magufuli kupitia jina la mkewe.

Shameful.
jibu zuri wadaku bwana wana tabu ina maana hajamuona mwenye ufunguzi wa Mfugale flyovers????????????????????????????
 
Kweli huyu mama siku hizi haonekani kabisa hata katika shughuli au safari ambazo ungetegemea aongozane na mumewe. Labda anaumwa au ameamua kukaa kando kabisa. Mambo ya unyumba ni magumu jamani huenda kuna shidakubwa. Wale unaofikiri watakuwa na furaha ya ndoa ndio hao unakuta wana kika kitu lakini hawana upendo na amani
 
Yuko wapi mama yetu huyo, Janeth Magufuli?

Hilo ndilo swali tunalojiuliza watanzania baada ya kutomuona siku nyingi katika matukio ya kisiasa ya nchini kwetu

Tulizoea kuwaona maFirst Lady akina Mama Salma Kikwete, Mama Anna Mkapa, Mama Sitti Mwinyi na hata Mama yetu wa awamu ya kwanza Mama Maria Nyerere wakiwa very active na shughuli za waume zao ambao walikuwa ni marais katika awamu zilizopita, wakati hali ni tofauti sana katika awamu hii, ambapo mama huyo ambaye ni First Lady wa awamu hii Mama Janeth Magufuli amekuwa kimya sana, ndiyo maana tunajiuliza kulikoni, yuko wapi Mama yetu huyo?

Kwa kuwa kuna msemo unaosema IN EVERY MAN's SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND
Nchi na mfumo wetu wa siasa hauna nafasi ya First Lady. Huo ni mfumo wa US. Ktk awamu zilizopita muondoe mama Maria Nyerere. Huyu alionekana ktk kipindi cha mwanzo kabisa na baadaye alitoweka ktk mambo ya siasa. Awamu zilizofuata naweza kusema zilikuwa dhaifu. Watawala walikuwa dhaifu na kuruhusu wake zao kuchukua nafasi hiyo kwa malengo mabaya.

Nasema malengo mabaya kwa sababu hakuna First Lady aliyefanya jambo la maana zaidi ya wizi na kujilimbikizia mali. Moja ya sababu ya Mzee Mrema kujiuzuru ilikuwa ni ufisadi wa kusafirisha dhahabu ambao ulisemekana ni mali ya huyo tuliyemuita First Lady. Miaka ya hivi karibuni wengine wakawa wanajidai kusaidia jamii na kuchota pesa ya misaada kujinufaisha na familia za huko kwao.

Hatuhitaji Mke wa rais au mume wa rais anayedandia madaraka yasiyo yake, Hadi Bungeni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom