Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Jamaa macho yamepofuka ila si haba mwanae ni RAS wa Kilimanjaro wanaendelea kula mema ya nchi
Kuwa RAS kwa gharama ya macho ya baba ni halali ? Kingine , huyo RAS ndio yule tapeli aliyeanzisha bendi ya taarabu na akamdhulumu Mwanahawa Ally ?
 
Punguza povu na porojo mbona anapata sitahiki zote kama wenzake?yeye ni mgonjwa sasa ulitaka aletwe kwenye majukwaa na serikali ndio inayomtibu,tuache ulaghai wa kila kitu kulaumu CCM,Maalimu Seifu tu anatunzwa tu na seriakli hiyo hiyo ya CCM unayoita laghai ,atunzwe Maalim Seif na aachwe Salmin Amour?acheni unafiki Wapemba nyie na ugonjwa ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine na si eti laana ya Wapemba,Wapemba hawana uwezo huo bali ni Mungu tu .Hata hao Wapemba nao huugua na kuna vipofu ,je wote hao wana laana.CCM ni moja hayo sijui ya kusema CCM bara mara CCM visiwani ni unafiki wako tu,acha porojo za kijinga,elimika.Shida yenu Wapemba ni kuamini sana ushirikina hata huyo madevu anadaiwa kutompa mkono kiongozi wake eti kwa ajili ya imani za kishirikina.
 
Aiseeee!!!! CCM ni chama kikatiri sana !
Na wewe acha ushabiki ,unaamini aliyoandika huyo Mpemba ni ya kweli?Maalimu Midevu,Lowass,Sumaye wote wanatunzwa na serikali hiyo hiyo mnayoita dhalimu sasa iweje ishindwe kumhudumia kiongozi wa serikali yake na mwanachama wake?Viongozi wenu wanawadanganya sana
 
Yupo unguja lakini kwisheene visomo vya wapemba na Dua zimepokelewa na Allah
 
Uliowataja wanalelewa na katiba na.kodi zetu usiwe Kichwa kigumu,wameitumikia hi tz ni haki yao
 
Sina jingine mkuu , usinitafutie kutekwa bure ! Shida yangu ni mahali alipo komandoo Salmin baaaasi .

Sina Nohoamimi wala bastola, ila huyu jamaa alikuwa mbabe kupitiliza ndo maana akitwa 'komadoo'. Sasa hivi kimyaaa, laana imenkumba nasikia haoni sasa hivi - ni kipofu, (wengine wanasema ukiziwi unamyemelea). USICHEZEE HAKI YA WANANCHI WW
 
Mkuu vipi uchaguzi huu wa chama umegombea chochote hapo Tenende ?
 
Nimejikuta nacheka tu !
 
Mkuu ni kodi zetu siyo za serikali kwa kazi walizotumikia,naweka rekodi sawa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…