Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

QUOTE="chaliifrancisco, post: 31368912, member: 269427"]
Inawezekana ana sababu za msingi zilizomfanya asiwepo msibani. Haimaanishi hajaguswa na msiba.

Tusitumie hili kukejeli juu ya afya za wengine hakuna aneijua kesho yake. Kuna waliomkshfu huyo mzee tokea ile 2015 akiwa CDM ila sasa wengi tumeshawasahau.
[/QUOTE]
Wewe hayo maneno yote yamekutoka ya nn??
 
Anaumwa sana na hali ni mbaya sana

Tumeshachoka sasa na ' Breaking News ' za ' Masikitiko / Simanzi ' hivyo kama ni kweli anaumwa basi namwomba Mwenyezi Mungu ampiganie ili arudi katika hali yake ya kawaida kwani bado Hekima zake za Kisiasa, Kidiplomasia na Kipropaganda zinahitajika mno katika Chama chake alichopo sasa.
 
Hicho chama alicho sasa mbona hakihitaji hekima wala akili?? Hicho chama hata Meko anaweza kuwa mwenyekiti maana kimejaa zombiez!
 
Anaumwa au anaharisha maana ni mzee kwa kujinyea kwa maelezo ya msukuma
 
NMEPATA TAARIFA BAADA YA KUTOA UZI HUMU JF kuwa yupi Lowasa,sumaye na wengine kuani msiba wa Mzee Mengi.

Kuwa yule mwana habar wa zamani wa ITV ambaye leo hii ni msemaji wa Lowasa anasema heti Lowasa kajitokeza kwa ufupi anatakiwa Lowasa leo sio wewe.
 
Lowassa akishaonekana hapo Msibani ndiyo Marehemu Mzee Mengi anafufuka na Kuendelea rasmi na Maisha yake? Siku zingine acheni kuwa ' Wapumbavu ' hivi. Ni lini umewahi Kumuona Mzee Lowassa hahudhurii Misiba ya Watu hasa hawa Wakubwa na Matajiri wenzie? Ni akili ya kawaida tu kwamba ukiona haonekani hapo basi jua kuwa labda ana udhuru na hili ni Jambo la kawaida sana tu. Mbona hapo hapo katika huo Msiba wa Mzee Mengi tunawaona Watu ( Waombolezaji ) wengine tena ni Watu wakubwa na maarufu sana nchini katika Misiba ya wengine huwa hawajitokezi / hawaendi lakini huu wapo. Kwanini hujawashangaa hao na ' Focus ' yako ipo tu kwa Mzee Lowassa?
 
NMEPATA TAARIFA BAADA YA KUTOA UZI HUMU JF kuwa yupi Lowasa,sumaye na wengine kuani msiba wa Mzee Mengi.

Kuwa yule mwana habar wa zamani wa ITV ambaye leo hii ni msemaji wa Lowasa anasema heti Lowasa kajitokeza kwa ufupi anatakiwa Lowasa leo sio wewe.
Kiswahili chako kinatia kichefu chefu
 
Nikiombe chama changu watekeleze makubaliano kati yao na Mzee Mamnvi, mzee ameshtuka kuwa wamemuingiza mjini kwa kumwambia akihame chama na baada ya siku ngapi mkwe wake ataachiwa huru sio hilo tu ni pamoja na kutomsumbua kwenye kodi alizokuwa anadaiwa, mpaka sasa moja ya hivyo kati ya vingine vyote havijaweza kutekelezwa. Hii imempa sana hasira na kuwauliza kwanini hayatekelezwi ndani ya muda walio kubaliana, wamemkalia kimya bila ya kumpa majibu sahihi, amekuwa mnyonge na kujisikia kuumwa sana na kujuta afadhali angeendelea na msimamo wake, anaumwa sana.

Watu wa karibu kuthibitisha hili fuatilieni kwa karibu sana mtapata jibu, ukienda kwa papara watakutolea nje ili upate ukweli jifanye kama hufuatilii ila ufuatilie kwa ujanja utajua hata zaidi ya haya ambayo sikutaka kuyaweka hapa.
 
Back
Top Bottom