Mwenye taarifa ya huyu mtu, naziomba,
Kati ya Post zake 20 za mwisho, post 17 zilimhusu mtu fulani, na kati ya post zake 5 za mwisho kuzianzisha, post 3 zilimhusu mtu yule yule mmoja!.
Balozi Humphrey Polepole alikuwa akizungumzia issues mbalimbali, na aliendelea kuwepo, ila alipoanza kuzungumzia baadhi ya watu aliowaita wahuni, alipotea!
Inawezekana huyu member mwenzetujohnthebaptistni ameamua kutulia, amebadili jina au kuna jambo limemfika?
P
Hili swali ungeliuliza huko Lumumba kweni ingependeza maana mmeizamisha nchi katika trajectory mbaya sana.
Leo hii imekua kama utani mtu alionekana jana mzima kabisa unashangaa masaa machache mbele kapotea na hatowahi kuonekana kabisa.