Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Kuna lolote? Ulipita kule kwenye nyoka wakubwa na wale mamba?Ngoja nianze kuanza Msako katika Mochwari mbalimbali Afrika Mashariki na Kati.
Kuna lolote? Ulipita kule kwenye nyoka wakubwa na wale mamba?Ngoja nianze kuanza Msako katika Mochwari mbalimbali Afrika Mashariki na Kati.
Hivi tukimuuliza mzushi mwenzie Tlaatlaah naye hajui alipo kweli?Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Kapanda daraja au kaliwa kichwa?Nasikia kafa nyayake
Kwa muda sahihi nitachaguaA na B ... Chagua jibu sahihi😂
Paskali mwaka 2021 alipata mtoto akiwa na miaka 61...Mwenyewe anakiri alitelezaWajukuu vipi wakati mwaka jana kapata mtoto
😂😂😂😂😂Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Karibu joni joni,baada ya kuhakikisha aliye ng'oa ule mbuyu ukioumwagilia sikuzote tangu ukiwa kama mchicha hadi kuwa mbuyu,umemtia lupango kwa fitna na uzushi hatimaye umejitokeza hadharani.😂😂😂😂😂
Mungu ni mwema wakati wote
😁😁😁😂😂😂😂😂
Mungu ni mwema wakati wote
Kumbe ulikuwa Kwaresma mkuu au mfungo wa Idd.😂😂😂😂😂
Mungu ni mwema wakati wote
Amerudishwa sober house hali imezidi kuwa teteKada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Wakuu huyu memba mwandamizi kada wa ccm ya kale na mshabiki wa Chadema kisiri siri yuko wapi? Sijamsikia tangu JF ilipofungiwa.Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Umekuja kujiulizia kwa ID nyingine?Wakuu huyu memba mwandamizi kada wa ccm ya kale na mshabiki wa Chadema kisiri siri yuko wapi? Sijamsikia tangu JF ilipofungiwa.
Au alikula shaba ile Oct29?
Mwenye taarifa zake atujuze au Mshana Jr kama unaweza fanya mambo ya kitamaduni tujue yuko wapi huyu member wa ccm