Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

Huwa ninajiuliza kwa nini hatumuoni mzee wetu wa taifa (first gentleman) bwana Hafidhi Amiri akiambatana na rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama yetu Samia Suluhu?

Fist lady wa Nyerere,Mwinyi, Mkapa,Kikwete, Magufuli tuliwafahamu vipi kuhusu mzee wetu Hafidhi kwa nini huwa haambatani na mama yetu Samia?

Wanaishi pamoja Ikulu?
 
kwa fikra ndogo tu hata km wewe ungekuwa mzee hafidhi usingekubali kuambatana na yule bibi ile ishakuwa nuksi.๐Ÿคฎ
 
Na akionekana sana mtasema Nchi inatawaliwa na mmewe!!
 
Wicknell Chivayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ