naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,065
Au unamfananisha na dada yake anaitwa Dina dah amepinda sana huyo dada kwa pombe za KinoKama teja au teja?
Au unamfananisha na dada yake anaitwa Dina dah amepinda sana huyo dada kwa pombe za KinoKama teja au teja?
kuliwa ndogo au?Wanaolewa na wazungu wana kazi sana
yeah,dizain kama salama,natafuta sana wanawake wa dizaini ile,salam hakukaa tu anga zangu ningemuweka ndani..na hivi mi gangstaAlikuwa vizuri upstairs. The quality that I admire most kwa mwanamke.
.au ni mja mzito?