Mnyunguli
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,772
- 4,463
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee
Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.
Uzi tayari.
Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee
Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.
Uzi tayari.