segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,788
- 731
Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?
Likes Received (6205)