Yuko wapi Deogratius Kisandu?

Yuko wapi Deogratius Kisandu?

Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?



kisanduuuu!!!! Katusumbua sana class hana lolote
 
jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda nccr mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?
nipo baba nimejaa tele zaidi ya unavyofikiri, hufatilii tu, si kila kitu media tunachanja mbuga.
 
Vijana wengine ni kama wale waigizaji kwenye movie za kihindi, harakati nyingi lakini mwishowe utakuta mhusika mkuu anafia kwenye maua!
umechemka dada. Nguvu ya mabadiliko haiji kama move, tunahitaji vijana wenye uwezo wa kujitambua bila ushabiki wa vyama na wakaweza kusimama wao kama wao bila mgongo wa umarufu wa mbunge wala mtu mkubwa kisiasa. Ndio maana vijana wa kitanzania hatufanikiwi kwasababu mnaamini katika majina yaleyale miaka yote.
 
lol.. mbavu zangu mie. Naona bado anakusanya watu maana mara ya mwisho alionekana Kahama akihutubia wanafamilia.. alifikiri kujaza umati kama wa Dk Slaa ni mchezo, hakujua kuwa watu waliinvest miaka kabla ya kuona matokeo...
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.
 
Anasotea kazi buzwagi..wara nyingi huwa anawakusanya wasoteaji wenzake pale getini na kuwahubiria siasa za nccr..
Si kila mzaliwa wa kahama anasotea kazi buzwagi, tena kama hauna kazi nitafute nikusaidie maana unaropoka tu.
 
umechemka dada. Nguvu ya mabadiliko haiji kama move, tunahitaji vijana wenye uwezo wa kujitambua bila ushabiki wa vyama na wakaweza kusimama wao kama wao bila mgongo wa umarufu wa mbunge wala mtu mkubwa kisiasa. Ndio maana vijana wa kitanzania hatufanikiwi kwasababu mnaamini katika majina yaleyale miaka yote.

Khee,kumbe bado yupo,...karibu kijana mwenzetu uliyefanikiwa,,,chama kinaendeleaje?..mtashiriki uchaguzi wa madiwani Arusha?
 
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.

LOL..... labda uwezo wa kujisaidia haja kubwa

usijidanganye dogo... huna chochote cha maana wala cha ku-add value kwenye maisha ya watanzania

tatizo mmekuta siasa za tanzania zimekua dhaifu basi hata tom, dick and harry mkadandia

things are going to change and the read deals are coming up
 
slaa ndio nani, mimi uwezo wangu ni mkubwa sana kuliko hata watu hao unaowataja.

Duuh..! Kwa comment hii lazima utakuwa na tatizo kubwa kichwani kwako.. Ati una uwezo kuliko Dr. Slaa..? Sasa ninaamini kweli ulikuwa pumba uliokuwa na umeambatana na mchele..
 
Back
Top Bottom