Yuko wapi Deogratius Kisandu?

Yuko wapi Deogratius Kisandu?

Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?

ACT amehamia.
 
Amepanga maeneo ya kirumba Mwanza karibu na kota za mamlaka ya pamba anasema ni mwalimu wa sekondari ila kachoka sana
 
Usipende kuropoka kwa kitu usichokijuwa bwegge wewe, Pasco yuko bize na kazi zake, wewe kama unalipwa pesa kuwepo hapa JF ni wewe.

[h=1]Pasco
user-online.png

JF Premium Member
premium1.png

reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date 22nd September 2008 Last Activity Today 10:19

Kumbe miaka yote hii pasco hakuwa na kazi ndo maana alikuwa anakesha JF kupiga domo sio.....washauri na akina Msalani nao watafute kazi za kufanya
 
Last edited by a moderator:
Kumbe miaka yote hii pasco hakuwa na kazi ndo maana alikuwa anakesha JF kupiga domo sio.....washauri na akina Msalani nao watafute kazi za kufanya

ha ha ha ha haaaaaaa...... Mbavu zangu jamani......
 
Sahivi ana dini yake mpya ya mwanamalundi anahubiri dini
 
Jamani nisaidieni kuhusu alipo huyu kijana machachari aliyekimbia chadema na kwenda NCCR mageuzi na kupata cheo fasta huko. Akiwa chadema alikuwa hatulii mara anataka kugombea urais mara anaipondea chadema mwishowe akaamua kuvua gwanda na kujiunga na nccr kwa mbwembwe. Alipotua nccr akaulamba ukatibu wa vijana fasta na hakutulia kuipondea chadema na kuifagilia nccr baadae habari yake kwisha si humu jamvini bali hata kwenye media nyingne. Vp amepotelea wapi huyu mwanasiasa?

Nipo nimewekewa vikwazo kila kona. Yaani nadhalilishwa. Wee acha tu.
 
Back
Top Bottom