Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,114
- 219,213
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno
Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?