Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,398
Tuache unafiki wa kupuuza mambo ya msingi , mchakato uliompitisha huyu jamaa kuwa Meya wa Kinondoni ulikuwa batili kuliko batili yenyewe , ni lini ataondolewa ?
Ikiwa kama tutashindwa kumng'oa huyu jamaa , ambaye umeya wake hata kunguru wanajua si halali basi tujiulize na kujipima kama tunaheshimu katiba ya Tanzania au tumeamua kuungana nao kuipuuza.