Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Ina maana TBC nayo itachoka?Naona tuu arudi tuu BBC maana tokea andoke bbc imechoka. hakuna kitu
Ina maana TBC nayo itachoka?Naona tuu arudi tuu BBC maana tokea andoke bbc imechoka. hakuna kitu
Mkuu umenena hapo. Huku tunaishi kwa ujanja ujanja na wizi wizi, na tunachukia wataalamu wanapotofautiana na wishes zetu. Natamani TUNISIA ihamie hapa, tuwachape JK na wezi wenzake hadi wakimbilie Costa Rica.lane:
Naomba Mungu Tido aje apate muda wa kumhoji maswali muungwana sijui atakuja kumhoji kitoto kama alivyofanya kwenye yale mahojiano live hadi Jonson Mbwambo na wadau wengine tukashutukia dili kuwa Tido anauliza kinazi,na akaja jifaragua kwenye gazeti la Raia Mwema kwa kutoa stori za hamnazo,na akawa ameshasahau alikotoka,jamani TZ ina wenyewe,ukiwauzi tu hata uwalambe nyayo utatupiwa virago mchana kweupe,na hilo liwe funzo kwa wengine wanaosahau walikotoka
Wanajamvi anaefahamu aweke wazi hapa, Tido yupo wapi sasa baada ya kutemeshwa mzigo TBC. zipo tetesi anataka kurudi BBC, kweli???
Chama kwanza kisha takataka zingine zinafuata baadae.
Kama hulindi wala kuboresha maslahi ya chama hata kama wewe ni malaika ziraili watakutupa nje tu....
Cheza na yooote bali usicheze na maslahi ya ccm
Sijutii Tido kuondoka maana alishiriki kujenga unafiki ktk utangazaji pale tbc lakini aliijengea sehemu ya heshima tbc. Kinacholeta tashwishwi ni namna alivyoondoka. ametimuliwa kama pepo....
Ingawa kila mtu ana haki ya kuamua wapi aishi, bado ninawashauri watz walioko nje kurudi nyumbani kusaidia kuing'oa CCM maddarakani kabla ya 2015.thanks man.....ndio maana nataka kukimbia nchi.....watz mlioko uko msirudi....
Yaliyomkuta Tido ni mwanzo wa wataalam wa nchi hii kukataa kurudi tena Tanzania kufanya kazi maana huku bado watu wako ki-ccm ccm na sio kwa maslahi ya taifa
u have said everything
Naomba Mungu Tido aje apate muda wa kumhoji maswali muungwana sijui atakuja kumhoji kitoto kama alivyofanya kwenye yale mahojiano live hadi Jonson Mbwambo na wadau wengine tukashutukia dili kuwa Tido anauliza kinazi,na akaja jifaragua kwenye gazeti la Raia Mwema kwa kutoa stori za hamnazo,na akawa ameshasahau alikotoka,jamani TZ ina wenyewe,ukiwauzi tu hata uwalambe nyayo utatupiwa virago mchana kweupe,na hilo liwe funzo kwa wengine wanaosahau walikotoka
Hii ya kusema Tanzania ina wenyewe ndiyo kauli inayotufanya tuwaachie wajinga wachache waendelee kutawala nchi hii na kufanya maamuzi yanayomuathiri kila mmoja. Tujizatiti kudai nchi yetu na kuwaonyesha kuwa tuna uchungu na nchi hii. Kumbuka ule msemo nchi inajengwa na wenye moyo (na kwa Tanzania) inaliwa na wachache wenye meno...