"Your Private Message Was Not Delivered to ...... ".

"Your Private Message Was Not Delivered to ...... ".

Kuna mdada nampenda humu Jf jamani, yaani kadri siku zinavyoenda anazidi kunifanya niishi kama vile nimeazimwa kichwa!

Jana jioni nimekaa nikasema ngoja nimwandikie PM, nifunguke kabisa moja kwa moja bila kusita.

Nimeandika PM yangu, lakini cha ajabu kila nilipojaribu kuituma nikawa napata huu ujumbe "Your Private Message Was not Delivered to ...... ". Niliona sio hali ya kawaida ikabidi tu nisitishe zoezi, sijui ni tatizo gani.

Ingawa sijampata, lakini naami siku nikimpata atanipandisha mpaka niweze kusimama juu ya mlima! Lakini acha tu nimdedicatie huu wimbo:

Westlife - You Raise Me Up (With Lyrics) - YouTube


Jamani nauliza, kuna watu humu wana nini maana mtu sijawahi kumwona lakini cha ajabu ananichanganya????

hahahahahahaaaa,,,,u raise me up,so that i can be,wewe umefundwa na kwamtoro ????
 
Last edited by a moderator:
Nimeupenda wimbo tu!!! Hayo ya PM mods watakusaidia ili uweze kuufikisha ujumbe wako kwa muhusika
 
Simplicity habari yako Ndugu yangu.

Kwanini PM isimfikie? Hebu fuatilia hilo.
 
Last edited by a moderator:
Simplicity habari yako Ndugu yangu.

Kwanini PM isimfikie? Hebu fuatilia hilo.

Sijui nimegusa mutu ya mwenye Jf? Habari za Ar? Vipi ulifika salama mkuu? Akina babe S hawajambo? Mtambuzi naye alinitonya kwamba Kaundime alikufanyia ndivyo sivyo, natumaini ulijionea kuwa mitoto ya Darisalama sio mchezo! Cantalisia vipi amezoea mji?
 
Back
Top Bottom