- Thread starter
- #61
Umepona rafiki . Wimbo mzuri sana Simplicity keep praying mpaka hiyo pm ikubaliNimeupenda wimbo tu!!! Hayo ya PM mods watakusaidia ili uweze kuufikisha ujumbe wako kwa muhusika
Umepona rafiki . Wimbo mzuri sana Simplicity keep praying mpaka hiyo pm ikubali
Mkuu, dah, swagga za avatar yako kama vile umetoka Goma!
Hahahahahahahaha lkn ujue halikua letu limejileta tunimepona mpenzi! Halafu bora hiyo PM iligoma, tumepata kiburudisho la jisong LOL!
..jaribu kumuomba friend request...
Work hard
It is either 'Chit Chat' or 'Report Abuse'
Chagua!
Watu mnavisa!!!!
Jamani nauliza, kuna watu humu wana nini maana mtu sijawahi kumwona lakini cha ajabu ananichanganya????