Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,104
- 1,249,095
Tupia mpaka wafike elfu mbili🤣🤣🤣🤣
Numbi umenifundisha ku block , hakuna kitu utasema🤣🤣🤣
Numbi umenifundisha ku block , hakuna kitu utasema🤣🤣🤣
Mjinga sanaAnakuchora tu🤣🤣🤣
Alipanda Vyeo Akawa Kanali, Brigedia General, Major GeneralAcha bangi, Luteni Kanali awe CDF!
By the way how is COF, Ambassador Muhehe 😁Alipanda Vyeo Akawa Kanali, Brigedia General, Major General
Ndiyo Akastaafu Halafu...
WEwe unafikiri hao askari doria ni wajinga kiasi hicho hadi wamuwahishe mtu mbinguni bila sababu za msingi..??Mnajua askari doria wapo kwenye uzi huu ,nyiieee tukidakwa hakuna cha mahakamani ni shaaaaa kuonana na israiiiiliiii🤣🤣🤣🤣🤣
Of all places hapa Dar, wakamjengea Bunju B!?True mabeyo alinunuliwa na watu wa mtandao na walimjengea nyumba bunju B
We kaswali hukoo bwana ,sio lazima uttangazie watuNaenda kuswali,utalaiki hii koment Ili nirudi
Una maana gani kuweka picha za watu waliotangulia mbele za haki?
Kumbe Mbuge alishafariki? Dah, sikuwa na habari aisee.Sio nchimbi ni mbuge uyo alisha fariki
Wasamehe bure boss!Shostie acha uwoga unaniogopa sana. Toka kwenye hilo fekero
Ukitaka ku install software za wizi au zile zisizo rasmi (crack), ambazo huwa na software ya key generator (keygen.exe), lazima kwanza uzime antivirus (mfano windows defender), la sivyo huwezi kufanya installation.Ambao hatujaelewa code tunyoshe kidole juu
Wasamehe bure boss!
Nakufahamu huna tabia ya kukoment vibaya!
Wengine wanastress za maisha, wapuuze tu
Cc hamis77kwa huyu?
View attachment 3456554