Your antivirus software watching you disabling it to run keygen.exe

Your antivirus software watching you disabling it to run keygen.exe

Magufuli alikuwa dhalimu wa kiwango cha juu, ila aliacha maadui zake akawapa anapambana na wapinzani kama maadui.
Sema tena na tena. Magufuli alidhani wapinzani ndiyo adui zake. Upeo wake wa kuchambua mambo ulikuwa mdogo halafu alikuwa anapenda kuabudiwa na alidhani anayemwabudu ndiye anampenda. Pia washauri wake walikuwa watu wa hovyo, wasio na mkakati bali wanatumia nguvu. Angekuwa na akili asingemwacha Samia kwenye umakamu kwa vyovyote vile wakati wa uchaguzi wa 2020. Au angetumia hili bunge la fisi-em kubadili katiba makamu asichiwe rais automatically.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom