KikweteMchekacheka
KikweteMchekacheka
Hii ndio Polepole na Gwajima wanasema kila siku kuna kitu wanajua, lakini wanakosa ujasiri wa kutamka hadharani.Suprise!
Subhanallah....🤔True mabeyo alinunuliwa na watu wa mtandao na walimjengea nyumba bunju B
Meja general mbungenani huyu JW?
Sio nchimbi ni mbuge uyo alisha farikiHuyo bila shaka ni Nchimbi, ila hili ni fumbo kwa Bi.Mkubwa
Huyo ni nani na nan?Hatari.
Kingwendu na BamboHuyo ni nani na nan?
Hawa jamaa walikua wananichekesha sana , hapo bamboo ni yupi na kingwendu ndio yupi?Kingwendu na Bambo
Bambo aliyevaa kijeshiHawa jamaa walikua wananichekesha sana , hapo bamboo ni yupi ma kingwendu ndio yupi?
Safi na masharubu yake kama paka shume , henu henu😜Bambo aliyevaa kijeshi
Lies upon lies... binadam na madomo yao!Huyu alifariki .. alipaswa awe ndio CDF .
Vita ya U CDF... Mabeyo alijuwa ataondolewa U CDF...
Akaamua akubali ulaghai wa kubariki ass....n..
Maana naye alikuwa muda wowote anaondolewa u CDF
Umdhaniae ndiye kumbe sie, na kanisani anacheo kabisa. Magufuli alisingiziwa mengi sana.Subhanallah....🤔
Magufuli alikuwa dhalimu wa kiwango cha juu, ila aliacha maadui zake akawapa anapambana na wapinzani kama maadui.Umdhaniae ndiye kumbe sie, na kanisani anacheo kabisa. Magufuli alisingiziwa mengi sana.
Naenda kuswali,utalaiki hii koment Ili nirudiMno hawa viazi wawili walikua wananipa raha sana 🤣🤣
Kivip ?Naenda kuswali,utalaiki hii koment Ili nirudi