Hata nyie hamko salama kama mnavyodanganyana, mwaka huu siyo mwaka Jana , kila timu inaweza kupata matokeo bila kujali iko home au away cha msingi ni kujipanga kuliko mpinzani wako tu.Iyo sale lazima iwa cost,maana kama mmeshindwa kufua dafu nyumbani ugenini mtaweza?
POLE WEEE. Yanga sio SIMBAHata nyie hamko salama kama mnavyodanganyana, mwaka huu siyo mwaka Jana , kila timu inaweza kupata matokeo bila kujali iko home au away cha msingi ni kujipanga kuliko mpinzani wako tu.
Mipovu km yooteWewe jiapize tu hafu siku Yanga inapindua meza usitembee uchi uone , tutakuvua nguo hakiyani.
😀😀😀Kwahyo hzo penalti zilikuwa za bule hv simba mnakwama wapi kwenye ubongo?
Manara kawaharibu hawa. Teh tehMpira hauna ugenini wala nyumbani baka alishinda tatu akapigwa nne
Kwahyo usikalili katika soka hatuna formula ya ushind unapigwa hata kwako
Kwahyo Simba kupata droo kule na ud songo ndio unategemea atashinda kwa urahis hapa taifa unajua timu pinzani inakuja na plan gani?¿??????
Halafu ndio ahadi zake hizo.Wewe jiapize tu hafu siku Yanga inapindua meza usitembee uchi uone , tutakuvua nguo hakiyani.
Tooooba!!!Hambebeki nyie,mmeshinda kupindua meza mbele ya mama zenu,mtapindua meza mbele ya wakwe zenu.
Yanga ikishinda ugenini natembea uchi Shadeeya