Wanafikiri mpira ni kujichubua na kuleta maigizo maigizo yao ya maisha.Shadeeya Bi harusi anaenda kuchukuliwa lini?View attachment 1954436
Mkuu huyu usidhani anatania, inawezekana kweli si mwanaumeWanafikiri mpira ni kujichubua na kuleta maigizo maigizo yao ya maisha.
Shida ya yanga ni moja tu. Wanajisahahu wanacheza kwa ku relax na kusahau kua wako vitani. Wachezaji wapigishwe mazoezi ya maana na kabla ya mechi wapewe mwalimu wa psychology awaandae. Nakwambia TPL mapema sana tunaua.Kwa ligi yetu,sioni wakutuzuia chamsingi tukiwa na umoja na mshikamano mzuri
Aisee!! Kama ni mashabiki tu, tunao Mkuu.
Mkuu huyu usidhani anatania, inawezekana kweli si mwanaume
Hope hili jukwaa sasa hivi utakua unaliheshimuNgapi ngapi uko?
Yanga wa kulia lia kabisaHivi haka kajamaa huwa ni timu gani? (Ally Kamwe)
Mbona kuna muda kama anatusakama au mie ndo huwa simwelewi?Yanga wa kulia lia kabisa
Yanga na nishakaa nae sana group za watsap za Yanga yy na yule samuel mtangazaji wa azamMbona kuna muda kama anatusakama au mie ndo huwa simwelewi?
Kumbe.Yanga na nishakaa nae sana group za watsap za Yanga yy na yule samuel mtangazaji wa azam
Sisi tuna watuAisee!! Kama ni mashabiki tu, tunao Mkuu.
Nimeshangaa Kibwana hajaitwa National team
Kalimangonga Ongalla mbona unamsahau.? Au makusudipia yanga walikuwa na bunduki nje kwenye benchi kama willy martin, rifat said, aboubakar salum "sure boy" david mwakalebela "MP" na wengine wengi ambao