Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20240514_071203_Instagram.jpg
 
Nami nimekugeukia mbele yako na kusema kuwa naipenda sana Yanga lakini Nakupenda wewe ephen zaidi ya Yanga yenyewe maana wewe hunipa furaha ya kuiangalia na kuifuatilia vyema Yanga.

Yanga imesaidia sana kuwapa ahueni waliokuwa na msongo wa mawazo.
Yanga raha sana komredi. Ni kububujikwa na machozi ya furaha tu utafikiri umeonana na shujaa wa Afrika, mkombozi wa wanyonge, kipenzi cha Watanzania, ngome ya ujasiri, Simba wa siasa za Afrika, mtetezi wa wanyonge na rais wa karne Mama Samia 😁😁😁

downloadfile-296.jpg
 
Back
Top Bottom