Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakuu, Kazi ya Minziro Geita Gold si inaonekana, mnaonaje tukamrudisha pale mtoto wa Nyumbani huyu kaze tangia aje tunashinda goli moja tu.....
 
Timu yetu naona inarudia kosa lilelile lililotutoa club bingwa....wachezaji hawapo fit hata 70%, nlitegemea timu ingekuwa kambin matokeo yake mpaka leo hamna kitu, viongozi hawapo serious kabisa yan.
 
Kutokuwa fit kwa wachezaji wetu ndiyo kimesababisha hata wale wakongo wasiitwe timu ya taifa.
 
Mkuu ngoja ina wachezaji wengi sana Duniani,kuitwa na kupata namba Timu ya Taifa ya Congo DRC si mchezo Huwezi kufananisha hata Kidogo na Tanzania,Wachezaji wa Taifa la Congo DRC wapo katibu katika kila nchi Duniani.Hivyo unaweza usiitwe inategemea na uamuzi wa kocha anataka amtumia nani kwa mfumo gani.Kuitwa au kutokuitwa Timu ya Taifa haimaanishi wewe hujuhi soka kwa nchi yenye vipaji vingi vya soka Afrika kama Congo DRC
 
Timu yetu naona inarudia kosa lilelile lililotutoa club bingwa....wachezaji hawapo fit hata 70%, nlitegemea timu ingekuwa kambin matokeo yake mpaka leo hamna kitu, viongozi hawapo serious kabisa yan.
Mambo ya kambi kwa klabu ni mambo ya kale.
 
Tunaendelea kujifua kupisha wiki mbili za mechi kuqualify World Cup
20211008_092801.jpg
 
Back
Top Bottom