Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

vvvv

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
357
589
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.

Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe.

TFF simamieni sheria acheni kuwekwa kwapani na Yanga. Simba na vilabu vingine vinatakiwa kusimamia hili kupitia kwa wanasheria mchezaji anachezaji ada ya malipo ya FIFA na CAF haijalipwa?

Pia soma: Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
 
Umbea mtupu!
 
Akili kiazi.
 
Ni muda wetu wanathimba kudai pwenti zetu
 
Atacheza CAF confederation cup 2024/2025
 
Moja ya sifa ya watanzania wengi ni kuto kutumia akili Pacome amewezaje kucheza mechi za CAF bila kukidhi vigezo yaani Al Ahly hawana data za mchezaji aliwewafunga ila wewe unazo?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata.

Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe.

TFF simamieni sheria acheni kuwekwa kwapani na Yanga. Simba na vilabu vingine vinatakiwa kusimamia hili kupitia kwa wanasheria mchezaji anachezaji ada ya malipo ya FIFA na CAF haijalipwa?

Pia soma: Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Usanii utawaponza utopolo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom