Hahahaaa. Hivi Mtani mpaka leo bado unaquote kauli za huyu jamaa.Ndio hawa ambao Manara aliwaita 'wachezaji wa kuokotaokota'? Mbona wako vizuri tu!
kwani timu yetu ina wachezaji ?Kutokuwa fit kwa wachezaji wetu ndiyo kimesababisha hata wale wakongo wasiitwe timu ya taifa.
Tutampa ule mlio wa ng'ombe uliyojiuzulu uenyekitiWakuu tumepigwa faini.....,
Sababu ya msolla mnaonaje tukampa mwakalebela uwenyekiti moja kwa moja.
Umeona wenzenu tunavyofanyaga kimataifa?
Mmh!! Timu inazaidi ya miezi 18 haijashiriki mashindano yeyote hiyo pia mnajitapa nayo. LolUmeona wenzenu tunavyofanyaga kimataifa?