Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,425
- 36,601
Yaani hao mikia msimu huu hata tukikutana mara 10 wanapigikaIle inaitwa warning , Yani onyo kwa vitimu vya Tanzania.
Yaani hao mikia msimu huu hata tukikutana mara 10 wanapigikaIle inaitwa warning , Yani onyo kwa vitimu vya Tanzania.
Bukoba hii bila shaka
Kazi imeanza, msimu huu wetu
Hakika na kiendelea na moto huu huu na kurekebisha baadhi ya makosa basi hakika tutakuwa tumepata mtu.Yupo vizuri
Nikweli kabisaHakika na kiendelea na moto huu huu na kurekebisha baadhi ya makosa basi hakika tutakuwa tumepata mtu.
Nawaza tu sijui safari hii anayewahujumu atakuwa nani? 🤣🤣🤣🤣Yaani hao mikia msimu huu hata tukikutana mara 10 wanapigika
Mugalu ameshasema hataki unafiki 🤣🤣🤣Nawaza tu sijui safari hii anayewahujumu atakuwa nani? 🤣🤣🤣🤣
Uelekeo wa huko bado hawajafika.Bukoba hii bila shaka