Na huyo mbwa pia alitakiwa kukaguliwa?
Itabidi uwafundishe kukagua Na sio kupekua.
They will value you for their whole life.
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.khaaa mimi tena?? aongea basi na Asprin kama kamaliza ukaguzi nirudi kwake nikapekuliwe! lolest!
mi mwenyewe naelewa basi?? Fixed Point mambo? nimekumisijeeeee kha!rafiki yangu cacico, imekuwaje tena na huyo husband wako Young_Master?
alikwenda naye kwao nasikia, then mshkaji akalala kwenye gari, alipostuka saa 11 alfdajiri akawasha mkoko wake ili awahi home kwake, si ndio kupata ajali mbuyuni!! lol mi nilipigiwa simu jana kupewa hizo news! lolest ulevi noumer!
@Remmy kha! umetumwa??? umenikomalia balaaa, sina budi kujifikiria kwa kweli!Wewe ni maalumu kwake. Angalia vizuri Hilo shairi...
Nenda kamtibu my mdogo.
mi mwenyewe naelewa basi?? Fixed Point mambo? nimekumisijeeeee kha!
cheka shoga yangu, vinafurahisha kha! ulimwengu huu, waachie walimwengu wanawezana.
we ulitaka alale naye kwao? ebo! mi nisingeweza kucheza tena, nilikuwa nimeshachoka, nways hebu njoo pm kwanza.aisee umeamin kuwa mimi ni kiona mbali? bora tungeenda zetu kucheza mziki nyumbani lounge kuliko kunywa kiasi kile. na nilikwambia weye mbishi na mukenya na dj walitaka kweli twende mziki. ngoja nimnyanyulie waya kwanza nimeskitikaje jamani?
shostito naye kumlaza ,wenziye mkokoni ndo nini?
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.
Upekuzi: Vijana, masharobaro.
![]()
Ukaguzi: Wazee, mababu.
http://www.kenyanlist.com/kls-wmk.php?path=attachments/g/57926_01_g_20110322213805.jpg[
Imetolewa na mimi babu yenu ODM wa wajukuu.[/QUOTE]
YoungMaster njoo huku unaitwa kwenye sebule party
Natumai hutaumizwa tena.
kama kila amkaguaye anamdo, basi ni neti hii kwa matobo aliyonayo, source Smile! mimi, BADILI TABIA na Yummy wenyewe tumeridhikaje sasa?? hata lije buludoza hatung'oki ng'o!
Msisahau nami niko PM huko naangalia umbea wenu tu. Ole wenu muwe mnamsema babu ODMwe ulitaka alale naye kwao? ebo! mi nisingeweza kucheza tena, nilikuwa nimeshachoka, nways hebu njoo pm kwanza.
Mie nshazeeka, mambo yenu vijana nawaachieni myafanye na vijana wenzenu. Ngoja nimsake Kongosho kwanza.kofia ipi na ya ngapi? hapa ndo mjini chezeya magwiji weye?????............BTW leo j4 jion tutakutana mita ya kati unakaribishwa kama hutojali.