You broke my heart cacico...!!!

You broke my heart cacico...!!!

Hahahahaha! Shem gfsonwin ntake radhi kabla sijakupeleka kibla cacico akufinye kikojoleo chako.......

shemu wangu wa ukwee Asprin mmh! usijali sana japo cha kwako kinaisha lakini hakitoi mapovu bado kina maprotine ya kutosha huoni kisha mmimba cacico triplets? halafu huwaga wanakisifia kina mfyonzo hivi ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana aisee! Umechukua uamuzi mwema, God will mend again your broken heart.
So sad to hear that.
My sympath.
MMMHHHH! MAMBO Remmy! si kila king'aacho ni dhahabu my dear! mengine madini ya zebaki, kwa kweli ni uamuzi mwema haswaaaa!
 
Humu Ndani watu hufanya kweli wala si utani, believe me. Kwa mfano babu Mkaguzi wa Wajukuu, huwakagua kweli wala i utani, heheheeee.......kalagabaho.
kama kila amkaguaye anamdo, basi ni neti hii kwa matobo aliyonayo, source Smile! mimi, BADILI TABIA na Yummy wenyewe tumeridhikaje sasa?? hata lije buludoza hatung'oki ng'o!
 
Last edited by a moderator:
Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:
mmmmwwwwaaaaahhhhhh!
 
Last edited by a moderator:
cacico na BADILI TABIA huyu mzee anatuingiza mkenge hilo limbwata kashanipatia,sasa naona analihamishia kwako na BT kaa mkao wa kula mwaya.
nasikia huwa anatu-do kweli! kwani we umedoiwa??? mi nilikaguliwa tu, ngoja nimwambie ani-do kwelikweli! lol!
 
Duuuuuu mbele ya YM??????:A S cry:
mbona we unafanyaga mbele ya Vin disel na sisemagi! lol kunya anye kuku, eeeee??? mama kadogo pulizzzzzzzzz! wacha nionje ladha za vibabu nazo kha!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
aisee basi amewaduu sana...........lol na hicho kikojoleo chake sasa si kimeisha jamani? sasa wanaomtumia wanatumia scraper lol!
nakwambia tutakuwa finito at this moment! nadhani kuna wahanga humu ndani wa huo mlima kitonga my dada, mmmmhhhh tuonane brajec kuhusu ile isue, by the way nilisahau kukwambia, dj alipata ajali that nite!
 
Hehehehe.....ama kweli raha jipe mwenyewe lol......haya kila la kheri dia......sasa YM kaachika au?
ushawahi kuta kandambili za umoja zauzwa shoprite?? lile si ni duka la south africa?? hebu nipishe na ctaki ufukunyuku! tukutane kule kwa cku ile.
 
aisee basi amewaduu sana...........lol na hicho kikojoleo chake sasa si kimeisha jamani? sasa wanaomtumia wanatumia scraper lol!

Kingekuwa kinaisha basi pangekuwa flat. Good luck haviishi. Yaani ndo anazidi kuwa Na maujuzi, lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom