You broke my heart cacico...!!!

You broke my heart cacico...!!!

hahahaha kwa raha zako shem....karibu![/QUOTE

jamani gfsonwin ana loose electron ambayo it is free available for bond formation previously iliform covalent bond na Kaizer but this time inahitaj kuform electrovalent bond na partna mwingine ambayo iko strong zaid. Bishanga naogopa nisije kukugombanisha na wapenzio, Asprin wajukuu wataniua bure Erickb52 Amyner ataniua sijui nani sasa kabaki lol.

hhahaha swtlo gfsonwin, upo kwen group la halogens nini?
 
Last edited by a moderator:
Mi msinihusishe kwenye mammbo yenu, mie nshazeeka najiandaa zangu kuelekea mbinguni.

na mimi naungana na wewe katika chama cha waenda mbiguni, so kuanzia leo naenda kuungama church na naomba nitangaze jukwaani kuwa nimemkataa shetan na mambo yake yote na kumkubali Yesu na mmbo yake yote.
 
Na ili uweze kwenda mbinguni lazima pia umkatae Kaizer na mambo yake yote na Asprin na mambo yake yote.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha kwa raha zako shem....karibu![/QUOTE

jamani gfsonwin ana loose electron ambayo it is free available for bond formation previously iliform covalent bond na Kaizer but this time inahitaj kuform electrovalent bond na partna mwingine ambayo iko strong zaid. Bishanga naogopa nisije kukugombanisha na wapenzio, Asprin wajukuu wataniua bure Erickb52 Amyner ataniua sijui nani sasa kabaki lol.

Narudia tena hapa sio maabara ebo!
 
He he he Mzee mwenzangu umefichwa wapi?
Au na wewe umepata li mama la TRA kama Bishanga linakurekebishia sauti kwa sauti?

Mie nshazeeka, mambo yenu vijana nawaachieni myafanye na vijana wenzenu. Ngoja nimsake Kongosho kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom