You broke my heart cacico...!!!

You broke my heart cacico...!!!

gfsonwin si unipe offer leo brajec ya wine jamani??? ninyweeeee! nipunguze stress na machungu ya ulimwengu huu,, kha! hivi shemeji Kaizer yupo wapi mbona kimya? msalimie sugar Asprin kama umenioneapo mahali! kha!
:violin::lock1:

shostito leo from saa tano naingia maabara hadi saa kumi hivi nina wadudu wa kuwafanyia isolation kwa ajili ya ile study so you can imagine how busy and shorter the day will be. najua nikishaingia kwenye safe cabinet hutonipata hewani tena ila usiboreke mamii. BTW Kaizer leo anaziba pancha sijamtia mbonini since ijumaa na huyo mpenzio Asprin ndo kuzidi manake niliskia crane la tics limemchota sijui limemtupia wapi.
😛eep:

shemeji Kaizer njoo pulizzzz uninunulie wine, mkeo atakuwa busy leo! ODM muache tu ajifiche huko alipo, najua atanitafuta tu akija, though nimesikia jana alilala nyumba ya kati kwa Yummy!
:A S-confused1:
 
:violin::lock1:

😛eep:

:A S-confused1:
aaawwww! sugar wangu mzima weye?? umenikaguaaa weeee mpaka nimepata tuhuma huku, nimenogewaje sasa na ukaguzi? naona kwa Yummy ulikolea haswaaa, mpaka kwangu ckukuona kha!
 
Last edited by a moderator:
aaawwww! sugar wangu mzima weye?? umenikaguaaa weeee mpaka nimepata tuhuma huku, nimenogewaje sasa na ukaguzi? naona kwa Yummy ulikolea haswaaa, mpaka kwangu ckukuona kha!
Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:
 
Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:

:eek2::eek2::eek2::alien:
 
Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:

kwani babu MSWATI we huwa unawekewa limbwata
 
Honey qwanionea bure, we mwenyewe wajua navokumind. FYI nimekuja na limbwata jingine uniwekee nikupende wewe peke yako. Likikaribia kuisha unistue nikuletee na jingine...:flypig:
cacico na BADILI TABIA huyu mzee anatuingiza mkenge hilo limbwata kashanipatia,sasa naona analihamishia kwako na BT kaa mkao wa kula mwaya.
 
Last edited by a moderator:
lol..........jamvi lina mambo aisee wengine tukitania wengine wanafanya kweli haya bana. kwastail hii wengi tutaolewa mara mia mia humu jamvin

Humu Ndani watu hufanya kweli wala si utani, believe me. Kwa mfano babu Mkaguzi wa Wajukuu, huwakagua kweli wala i utani, heheheeee.......kalagabaho.
 
Humu Ndani watu hufanya kweli wala si utani, believe me. Kwa mfano babu Mkaguzi wa Wajukuu, huwakagua kweli wala i utani, heheheeee.......kalagabaho.

aisee basi amewaduu sana...........lol na hicho kikojoleo chake sasa si kimeisha jamani? sasa wanaomtumia wanatumia scraper lol!
 
Last edited by a moderator:
Hommie ukimpata usisahau kuniambia. Sijamuonapo siku tatu hizi, sijui aliendaga wapi? BTW gfsonwin hajambo na maungo yake yote? Unasalimiwa sana na cacico, ananilelea mimba yangu ya mapacha watatu.

miye sijambo kabisa na mziba pancha wangu naye Kaizer hajambo. lol namshukuru sana Kaizer wangu japo watu wanamnyemelea lakin yeye anawakataa kanitajia wote wanaomtolea macho.........:spy::wacko: so niko nazidisha ufundi wasije nichukuliaga utamu wangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom