cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
hubby acha ufukunyuku kha!Msisahau nami niko PM huko naangalia umbea wenu tu. Ole wenu muwe mnamsema babu ODM
nashanga mke mwenza bora umekuja! nasikia babu yetu eti huwa anawado watu kiukweliiiiiiii humu ndani! naomba aingizwe kwenye guiness bokk of records kama idadi ishakuwa kubwa mpaka watu wanajua kha! ulikuwa wapi mke mwenza? kwa jinsi ambavyo roho zetu nyeupeeeeee kwa kushea hebu pokeeni hii mwahhhh! :hug: ya kwenu we na Yummy!tung'oke kwa babu twende wapi mke mwenza? babu oyeeeeeeeee
Nyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.
Upekuzi: Vijana, masharobaro.
![]()
Ukaguzi: Wazee, mababu.
![]()
Imetolewa na mimi babu yenu ODM wa wajukuu.
shemeji mwahhhhh! kha! mzima weye lakini?
Tena we mke wa kwanza BADILI TABIA ujue niko njiani nakuletea zawadi ya kondoo mzima na roho yake.tung'oke kwa babu twende wapi mke mwenza? babu oyeeeeeeeee
Babu Asprin nimeuenda huo ukaguzi hasa kwa huyo Mbwa alivyo jitayarisha kukaguliwa LolNyie sweetlady, Remmy, cacico, gfsonwin, The secretary, Yummy, charminglady BADILI TABIA na wengine woooote..... hebu mtafuteni Young_Master na Erickb52 waajifunze tofauti kati ya kukagua na kupekua. Afu nawaombeni nyie mashosti mniambie mnapenda kukaguliwa au kupekuliwa? Labda vijana watajifunza kutokana na makosa. Ujumbe huu uwafikie Kaizer, Mamndenyi na Bishanga popote pale walipo.
Upekuzi: Vijana, masharobaro.
![]()
Nampa raha zote anazotaka mtoto wa kike.
Ipi tena Kaizer?
Alhamisi Naja huko Dom.
Patikana basi
Ila hutanikagua wala kunipekua.
Ipi tena Kaizer?
Alhamisi Naja huko Dom.
Patikana basi
Ila hutanikagua wala kunipekua.