You broke my heart cacico...!!!

You broke my heart cacico...!!!

Acha longolongo.......... nataka maelezo ya kueleweka kuhusu "hiyo ishu" na huyo DJ ni nani na sababu zilizokufanya uchelewe kurudi nyumbani.

Vinginevyo mi na wewe sasa basi, uje uchukue talaka yako
ni dj tu sugar wangu, hakufikii hata kidogo kwa lolote! u r the only one in my heart, relax!
 
Hhahahaha tatizo la hawa vijana hawajui kukagua. Badala ya kukagua wao wanapekua, kwanini wasipigwe chini?

attachment.php

Itabidi uwafundishe kukagua Na sio kupekua.
They will value you for their whole life.
 
weye shostito wangu AshaDii karidhaka kweli miye kuwa na mchuchu wake.
Kwako sitii neno mama......nilikuwa naulizia tu ili usijekutwa na makubwa mie nkakosa mshauri lolNijuze afya yako tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
nakwambia tutakuwa finito at this moment! nadhani kuna wahanga humu ndani wa huo mlima kitonga my dada, mmmmhhhh tuonane brajec kuhusu ile isue, by the way nilisahau kukwambia, dj alipata ajali that nite!

wewe ajali??? amenusurika? aisee ulevi ni noma wine halo halo halo, konyagi halo halo halo. sasa na shostito kapona manake kama vile naye cheo cha mke mdogo anakitumia vzr.
 
Khaa!!!!!!!!! gfsonwin na cacico nimewavulieni kofia. Duh!!!
 
Last edited by a moderator:
wewe ajali??? amenusurika? aisee ulevi ni noma wine halo halo halo, konyagi halo halo halo. sasa na shostito kapona manake kama vile naye cheo cha mke mdogo anakitumia vzr.
alikwenda naye kwao nasikia, then mshkaji akalala kwenye gari, alipostuka saa 11 alfdajiri akawasha mkoko wake ili awahi home kwake, si ndio kupata ajali mbuyuni!! lol mi nilipigiwa simu jana kupewa hizo news! lolest ulevi noumer!
 
na yale yanapendeza ukiwa maeneo na siku maalum kwa watu maalum! ugonjwa wa mafua unakua aplicable vibaya mno!

Wewe ni maalumu kwake. Angalia vizuri Hilo shairi...
Nenda kamtibu my mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom