:ranger:............:A S-omg:..........:A S-coffee:nakwambia tutakuwa finito at this moment! nadhani kuna wahanga humu ndani wa huo mlima kitonga my dada, mmmmhhhh tuonane brajec kuhusu ile isue, by the way nilisahau kukwambia, dj alipata ajali that nite!
hebu wachagulie majina hao triplets, maana najua mmoja ataitwa jina la swahiba wako @klorokwin, hao wengine je, malizia lol!
mbona hatukaribishani coffee ?? kha! halafu ushauri wa bure, acha bwana kuwa-do wajukuu, kwanza mi karibu nitaomba talaka maana kama huwa unatufuata mpaka ndotoni mwe, mwe, mwe! lol!:ranger:............:A S-omg:..........:A S-coffee:
Wakwanza, Asprin Jnr wa pili klorokwini watatu cacico jnrhebu wachagulie majina hao triplets, maana najua mmoja ataitwa jina la swahiba wako @klorokwin, hao wengine je, malizia lol!
MMMHHHH! MAMBO Remmy! si kila king'aacho ni dhahabu my dear! mengine madini ya zebaki, kwa kweli ni uamuzi mwema haswaaaa!
hamna bwana this chit chat, hivi kuna mtu huwa anaamini ya humu ndani?? mbona mi huwa siamini chochote kwenye hili jukwaa jamani???
Mie niko poa cacico!
Kwanini unacheza Na mioyo ya watu?
Mwonee huruma Kijana wetu
Juzi alinambia anaumwa sikusoma hii, kumbe ni wewe the causative agent.
Hebu mfikirie tena.
mioyo y watu??? Remmy nani mwingine?? kama niki-chi chat sawa nacheza nao, hata wao si wanacheza na mimi?? nways ni utani tu huo nadhani Young_Master kaamua tu kuchangamsha genge! lolest! kwema huko lakini Remmy? kwanza umesema watu wanadoiwa humu ndani NIMECHOKA KABISAAAAA! lol, basi ni patamu hapa lakini hatari vile vile! kha!Mie niko poa cacico!
Kwanini unacheza Na mioyo ya watu?
Mwonee huruma Kijana wetu
Juzi alinambia anaumwa sikusoma hii, kumbe ni wewe the causative agent.
Hebu mfikirie tena.
:clap2:
:emptybath::welcome:
nakwambia tutakuwa finito at this moment! nadhani kuna wahanga humu ndani wa huo mlima kitonga my dada, mmmmhhhh tuonane brajec kuhusu ile isue, by the way nilisahau kukwambia, dj alipata ajali that nite!
:ranger:............:A S-omg:..........:A S-coffee:
mbona hatukaribishani coffee ?? kha! halafu ushauri wa bure, acha bwana kuwa-do wajukuu, kwanza mi karibu nitaomba talaka maana kama huwa unatufuata mpaka ndotoni mwe, mwe, mwe! lol!
nimeipitisha bila kipingamizi! lol! umtafute baba wa ubatizo, mama wa ubatizo nimemteua sweetlady maana ye pia alinipa mwanae kadogoo nimsimamie!Wakwanza, Asprin Jnr wa pili klorokwini watatu cacico jnr
mioyo y watu??? Remmy nani mwingine?? kama niki-chi chat sawa nacheza nao, hata wao si wanacheza na mimi?? nways ni utani tu huo nadhani Young_Master kaamua tu kuchangamsha genge! lolest! kwema huko lakini Remmy? kwanza umesema watu wanadoiwa humu ndani NIMECHOKA KABISAAAAA! lol, basi ni patamu hapa lakini hatari vile vile! kha!
Hhahahaha tatizo la hawa vijana hawajui kukagua. Badala ya kukagua wao wanapekua, kwanini wasipigwe chini?Hahahaaaaaa......
Babu umekuwa mjuvi kwa uzoefu wa kukagua
Wajukuu hawapindui.....!
Kutwa kuwatema wapenzi wao.
Vibaya hivyo.....
U break mioyo ya watu.
Hhahahaha tatizo la hawa vijana hawajui kukagua. Badala ya kukagua wao wanapekua, kwanini wasipigwe chini?
![]()