You are not my type

Mkuu hapo mwanzoni hauko sahihi kabisa, kwamba hakuna ambacho mwanamke anaweza kukukataa nacho zaidi ya umasikini? Sio kweli kabisa ingekuwa hivyo maskini wasingekuwa na wapenzi au ndoa
Kihisia unaweza kuwa sahihi lakini kiuhalisia nadhani sio sawa. Wanawake mnapenda life assurance kwa hiyo inavyo onekana kama hausomeki afu kuna mtu mwingine anaonekana yuko vizuri financial basi wewe ambaye bado hujakaa sawa kifedha thamani yako kwa mwanamke inapungua kiasi. Ndio nilichomaanisha kwa ile kauli yangu.
Mimi tayari yamenikuta tena kwa modern women ambaye ana elimu nzuri ya darasani na akili ya kiujasiriamali. Na mimi binafsi jinsi nilivyo nalijua endapo tungeshirikiana pamoja basi huenda tungefika mbali sana. kumbe akili ya mnwanamke haibadiliki pamoja na kumshirikisha plan zangu nyingi bado haikua msaadaNilichojifunza ni kwamba current status kwa mwanamke ina umuhimu sana, so bado sioni kwanini unapinga hoja yangu
 
Naomba tukubaliane kutokubaliana
 
Mwanamke yeyote wa kimjinimjini anaangalia status yako toka ulivyomfuata. Sote twajua wanawake wengi wa mjini wanapenda maisha mazuri hasa ya kuwa outstanding kwenye jamii inayomzunguka. Sasa mtu wa ku facilitate hio aina ya maisha ndio haswa anaemtaka na ambaye atakuwa tayari kuwa nae anyday. Wanaofulfill hicho kigezo ni ME wenye hela tu zingine ni ngonjera za kukufariji tu.

Uwe uko smart una kazi nzuri na ndinga lako unapush. Kwenye mitoko unamwaga noti (Spoil her) bila kuwaza hapo demu wa kimjini umemfikisha. Huna haja hata ya kutongoza, outing mbili tatu umekula mzigo.

Ukiona mwanamke wa kimjini ana date na mtu hana hela na katulia ujue huyo raia ana special character au ni usmart HB ndio unamsitiri. Zaidi ya hapo unatapeliwa tu na akija mwenye vigezo vyake vya kumu assure maisha mazuri unabwagwa!

Ndio maana sitaki mwanamke ambaye hana ishu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Rate ya utapeli wa mapenzi kwa wanawake wanaojua kujitaftia ni ndogo sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kauli itoke kwa mtu kama Riyama Ally
 
Miss Becky sidhani kama uko sahihi, type sio kiwango, mnaweza kuwa viwango sawa lakini si type moja, mnaweza kuwa type ileile ila viwango tofauti
We wajuaje mi si type yako ilihali hatujawahi kuwa katikz uhusiano before!? Nipe chance tuwe wapenzi kisha ndio utapata jua kuwa sio type yako au la!
 
We jamaa unatambua huu mchezo vyema sana. Hongera sana, watu wa marketing hawapati tabu sana. Ni swala la kuweka strategies vizuri tu.
 
Sio mabaya eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…